19 Machi 2011 - 20:30

Kiongozi mmoja katika Serekali ya Gaza amitangaza na kusema: Misri imetoa ahadi yakupeleka umeme ukanda wa Gaza

Ahmad Abul Amrain mkuu wa nishati ya umeme ukanda wa Gaza amesema: Cairo imetoa tamko kuwa mpaka siku ya juma pili umeme utafika ukanda wa Gaza, kiwanda hicho cha nchini Misri kinazalisha moja ya tatu ya umeme wa Gaza. Kiongozi huyo wa Gaza amesema: muda ambao kiwanda hicho cha uzalishaji nishati ya umeme kilipokuwa kimesimamishwa uzalishaji wake, niliuomba utawala wa Misri kuwa utupatie kiwango cha umeme kutokana na mahitaji yetu ili kusaidia maendelio ya harakati za wapalestina katika ukanda wa Gaza